Kipa wa zamani wa Yanga, Simba na Taifa Stars, Said Mohammed ‘Nduda’ ameikumbushia Dabi ya Kariakoo aliyosimama langoni na kufungwa mabao manne wakati Yanga ikifa 5-0 mbele ya Simba katika pambano ...