Kikosi cha Yanga jana jioni kilishuka uwanjani kuvaana na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini kipa namba moja ...
Kikosi cha Yanga jana jioni kilishuka uwanjani kuvaana na JKT Tanzania katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini kipa namba moja wa kikosi hicho, Djigui Diarra alikuwa anaumiza kichwa ...
Musoma. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa anayewakilisha mkoa wa Mara, Christopher Gachuma pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Kemirembe Lwota wamepata ajali ya gari jana ...
Rekodi zinaonyesha JKT TZ katika mechi nane za nyumbani msimu huu imeshinda tatu na sare nne, haijapoteza, imefunga mabao saba na kuruhusu matatu, ina clean sheet sita.
Ni jambo jema kwamba tumeanza mtalaa mpya shuleni ambao una somo la maadili likifundishwa pamoja na somo la historia ya Tanzania.
Mfumo wa elimu nchini unalenga kuwawezesha wanafunzi kupata maarifa, ujuzi, na stadi za maisha ili kuwaandaa kwa maisha ya ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia ...
Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho katika mji wa Magugu, Kijiji cha Matufa, Wilaya ya Babati mkoani Manyara yakiongozwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa Katiba ya CCM ya mwaka 1977 na marekebisho yake, nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho iko wazi ...
Amedai kuwa, baada ya tukio hilo kutokea, mshitakiwa alipiga kelele na ndipo alijitokeza mwenyekiti wa kitongoji hicho pamoja na baadhi ya majirani wa eneo hilo.
Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania urais kwenye uchaguzi mkuu wa 2030, hawakufurahia uamuzi huo wakiamini unawaweka kwenye mazingira magumu hapo baadaye.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results