![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Homepage - HabariLeo
Za Karibuni Elementor #70058 Dk Biteko ashiriki uapisho wa Rais Duma Boko “Mshindi atangazwe, Tamisemi msipendelee” PMAYA 2024:…
Israel, Hamas mambo safi - HabariLeo
1 day ago · ISRAEL: ISRAEL na kundi la wanamgambo wa Hamas wamekamilisha zoezi la tano la kubadilishana mateka wa Israel kwa wafungwa wa kipalestina kwa mujibu wa makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyodumu kwa zaidi ya miezi 12. Vyombo vya habari vimeripoti kwamba Israel imewaondoa wanajeshi wake katika eneo ...
Haturejeshi uhusiano na Israel bila Palestina - HabariLeo
5 days ago · RIYADH:SERIKALI ya Saudi Arabia imesema haitaanzisha uhusiano na Israel hadi taifa la Palestina. Mwanamfalme Mohammed bin Salman amethibitisha msimamo huu, akisisitiza kuwa Saudi Arabia haitakubaliana na maamuzi yoyote ya kuwaondoa Wapalestina katika ardhi yao. Hata hivyo, suala la kuimarisha ...
- HabariLeo
2 days ago · RAIS Samia Suluhu Hassan amewahakikishia Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuwa Tanzania itaendelea kutoa ushirikiano katika kushughulikia mgogoro unaoendelea Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo (DRC).
Biteko akemea ubabe Tanesco, ataka hatua - HabariLeo
4 days ago · NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na baadhi ya watoa huduma katika kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa kuwa wanasababisha malalamiko kwa wananchi. Dk Biteko amesema hayo wakati wa kikao cha tatu cha tathmini ya uendaji kazi wa taasisi ...
Trump akiri hali si shwari Israel, Hamas - HabariLeo
6 days ago · RAIS wa Marekani, Donald Trump amesema hana uhakika na kuwepo kwa amani ya kudumu kati ya Israel na Hamas licha ya kuwa sehemu ya mpango wa kusitisha mapigano uliowezesha kuachiwa kwa mateka ambapo akizungumza kabla ya mkutano wake na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, Trump amekiri kuwa hali bado ni tete na haitabiriki.
Serikali yapewa ushauri athari uamuzi wa Trump - HabariLeo
4 days ago · SERIKALI imeshauriwa kutenga bajeti ya ziada kugharimia programu zilizokuwa zikifadhiliwa na serikali ya Marekani ili wananchi wasikose huduma zikiwemo za afya. Aidha, Bunge limeombwa kujadili kwa dharura uamuzi wa Serikali ya Marekani wa kuzuia misaada kwa nchi masikini ikiwemo ya afya na liishauri ...
Biteko aagiza kituo huduma kwa wateja TANESCO kufumuliwa
Jan 9, 2025 · NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kufuatia kituo hicho kushindwa kuwahudumia wananchi kwa viwango vinavyotarajiwa. Kwa mujibu wa Wizara ya Nishati Dk Biteko ametoa agizo hilo leo Januari 9 ...
Tanzania ni mfano miaka 63 ya Uhuru - HabariLeo
DAR ES SALAAM; Hali ya machafuko katika baadhi ya mataifa ya Afrika, yanalifedhehesha Bara la Afrika mbele ya macho ya walimwengu. Ni jambo la kushangaza kuona Waafrika wanazozana wao kwa wao kwa miaka nenda kwa miaka rudi.
Tanzania Archives - HabariLeo
Gavana BoT afurahishwa ushirikiano ZEEA mikopo bila riba. Na NA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Febuari 4, 2025